Kimayi-Kulan
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kimayi-Kulan kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wamayi-Kulan katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kimayi-Kulan, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimayi-Kulan kiko katika kundi la Kimayabiki.