Kimayawali
lugha ya asili ya Australia iliyotoweka / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kimayawali kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wamayawali katika jimbo la Victoria. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kimayawali ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimayawali kiko katika kundi la Kikarniki.