Kimayaguduna
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kimayaguduna (au Kimayi-Kutuna) kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wamayaguduna katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kimayaguduna, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimayaguduna kiko katika kundi la Kimayabiki.