Kimaung
lugha ya asili ya Australia / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kimaung ni lugha ya Kiyiwaidjan nchini Australia inayozungumzwa na Wamaung katika jimbo la Northern Territory. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kimaung 260.