Kimarriammu
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kimarriammu ni lugha ya Kidaly nchini Australia inayozungumzwa na Wamarriammu katika jimbo la Northern Territory. Mwaka wa 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kimarriammu watano tu, yaani lugha imekaribia kutoweka hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimarriammu kiko katika kundi lake lenyewe la Kimarriammu.