Kimariyedi
lugha ya asili ya Australia / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kimariyedi ni lugha ya Kidaly nchini Australia inayozungumzwa na Wamariyedi katika jimbo la Northern Territory. Mwaka wa 1981, kulikuwa na wasemaji wa Kimariyedi 20 tu, yaani lugha imekaribia kutoweka hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimariyedi kiko katika kundi la Kibringen.