Kimaridjabin
lugha ya asili ya Australia / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kimaridjabin ni lugha ya Kidaly nchini Australia inayozungumzwa na Wamaridjabin katika jimbo la Northern Territory. Mwaka wa 1970, kulikuwa na wasemaji wa Kimaridjabin 20 tu, yaani lugha imekaribia kutoweka hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimaridjabin kiko katika kundi la Kibringen.