Kimargu
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kimarrgu (au Kimargu) ilikuwa lugha ya asili nchini Australia iliyozungumzwa na Wamarrgu katika jimbo la Northern Territory kwenye kisiwa cha Croker Island. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kimarrgu ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimarrgu kiko katika kundi kundi la Kimargiki.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/5/5a/Marrgu_language.png/320px-Marrgu_language.png)