Kimargany
lugha ya asili ya Australia iliyotoweka / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kimargany kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wamargany katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kimargany ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimargany kiko katika kundi la Kimariki.