Kimangerr
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kimangerr kilikuwa lugha ya Kigiimbiyu nchini Australia iliyozungumzwa na Wamangerr katika jimbo la Northern Territory. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kimangerr ilitoweka. Hakuna uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, kwa vile kuna lugha tatu za Kigiimbiyu tu, na zote zilitoweka.