Kimandandanyi
lugha ya asili ya Australia iliyotoweka / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kimandandanyi kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wamandandanyi katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kimandandanyi ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimandandanyi kiko katika kundi la Kimariki.