Kimanangkari
lugha ya asili ya Australia iliyotoweka / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kimanangkari ni lugha ya Kiyiwaidjan nchini Australia inayozungumzwa na Wamanangkari katika jimbo la Northern Territory. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha ya Kimanangkari, yaani lugha imetoweka kabisa.