Kimaguindanaon
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kimaguindanaon ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Wamaguindanaon. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kimaguindanaon imehesabiwa kuwa watu 1,100,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimaguindanaon iko katika kundi la Kifilipino.