Kimadngele
lugha ya asili ya Australia iliyotoweka / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kimadngele kilikuwa lugha ya Kidaly nchini Australia iliyozungumzwa na Wamadngele katika jimbo la Northern Territory. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kimadngele, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimadngele kiko katika kundi la Kimalagmalag.