Kilanima
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kilanima kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Walanima katika jimbo la Victoria. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kilanima, yaani lugha imetoweka kabisa. Uainishaji wa lugha ya Kilanima kwa ndani zaidi haujulikani.