Kilang'e
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kilang'e ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina inayozungumzwa na Wayi. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kilang'e imehesabiwa kuwa watu 2000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kilang'e iko katika kundi la Kingwi.