Kilamu-Lamu
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kilamu-Lamu (au Kilamalama) ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Walamalama katika jimbo la Queensland. Katika sensa ya mwaka wa 2006, idadi ya wasemaji wa Kilamu-Lamu ilikuwa watu 19 tu, yaani lugha imekaribia kutoweka hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilamu-Lamu kiko katika kundi la Kilamalamiki.