Kiladji-Ladji
lugha ya asili ya Australia iliyotoweka / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kiladji-Ladji kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Waladji-Ladji katika jimbo la Victoria. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kiladji-Ladji, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiladji-Ladji kiko katika kundi la Kikulin.