Kilachi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kilachi ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Vietnam inayozungumzwa na Walachi. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kilachi imehesabiwa kuwa watu 5000 nchini Vietnam na 200 nchini Uchina. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kilachi iko katika kundi la Kikra.