![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/a/a6/Worrorran_languages.png/640px-Worrorran_languages.png&w=640&q=50)
Kikwini
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kikwini kilikuwa lugha ya Kiworrorran nchini Australia iliyozungumzwa na Wakwini katika jimbo la Australia Magharibi. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kikwini ilitoweka (mwaka wa 2005, kulikuwa na msemaji mmoja). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikwini kiko katika kundi la Kiwunambal.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/a/a6/Worrorran_languages.png/640px-Worrorran_languages.png)