Kikuuku-Ya'u
lugha ya asili ya Australia / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kikuuku-Ya'u ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wakuku katika jimbo la Queensland. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kikuuku-Ya'u 13 tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikuuku-Ya'u kiko katika kundi la Kipaman.