Kikuuk-Yak
lugha ya asili ya Australia iliyotoweka / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kikuuk-Yak kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wakuuk-Yak katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kikuuk-Yak, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikuuk-Yak kiko katika kundi la Kipaman.