Kikuthant
lugha ya asili ya Australia iliyotoweka / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kikuthant kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wakuthant katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kikuthant, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikuthant kiko katika kundi la Kipaman.