Kikunggari
lugha ya asili ya Australia iliyotoweka / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kikunggari kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wakunggari katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kikunggari ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikunggari kiko katika kundi la Kimariki.