Kikungarakany
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kikungarakany ilikuwa lugha ya Kigunwinyguan nchini Australia iliyozungumzwa na Wakungarakany katika jimbo la Northern Territory. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kikungarakany ilitoweka. Msemaji wa mwisho akafariki mwaka wa 1989. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikungarakany kiko katika kundi lake lenyewe la Kikungarakany.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/7/79/Arnhem_languages_%28closeup%29.png/320px-Arnhem_languages_%28closeup%29.png)