Kikuku-Ugbanh
lugha ya asili ya Australia iliyotoweka / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kikuku-Ugbanh kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wakuku katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kikuku-Ugbanh, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikuku-Ugbanh kiko katika kundi la Kipaman.