Kikuku-Mangk
lugha ya asili ya Australia iliyotoweka / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kikuku-Mangk kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wakuku katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kikuku-Mangk, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikuku-Mangk kiko katika kundi la Kipaman.