Kikukatja
lugha ya asili ya Australia / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kikukatja ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wakukatja katika jimbo la Australia Magharibi. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kikukatja 440. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikukatja kiko katika kundi la Kipama-Nyungan cha Kusini-Magharibi.