Kikoko-Babangk
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kikoko-Babangk kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wakoko-Babangk katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kikoko-Babangk, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikoko-Babangk kiko katika kundi la Kipaman.