Kikok-Nar
lugha ya asili ya Australia iliyotoweka / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kikok-Nar kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wakok-Nar katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kikok-Nar, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikok-Nar kiko katika kundi la Kipaman.