Kikaytetye
lugha ya asili ya Australia / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kikaytetye ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wakaytetye katika jimbo la Northern Territory. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kikaytetye 140. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikaytetye kiko katika kundi la Kiarandiki.