Kikayardild
lugha ya asili ya Australia / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kikayardild ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wakayardild katika jimbo la Queensland. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kikayardild 23 tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikayardild kiko katika kundi la Kitangiki.