Kikarranga
lugha ya asili ya Australia iliyotoweka / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kikarranga ilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wakarranga katika jimbo la Northern Territory. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kikarranga ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikarranga kiko katika kundi kundi la Kingumbin.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/8/89/Karranga_language.png/320px-Karranga_language.png)