Kikariyarra
lugha ya asili ya Australia iliyotoweka / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kikariyarra kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wakariyarra katika jimbo la Australia Magharibi. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kikariyarra ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikariyarra kiko katika kundi la Kipama-Nyungan cha Kusini-Magharibi.