Kikamu
lugha ya asili ya Australia iliyotoweka / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kikamu kilikuwa lugha ya Kidaly nchini Australia iliyozungumzwa na Wakamu katika jimbo la Northern Territory. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kikamu, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikamu kiko katika kundi la Kimalagmalag.