Kikalkutung
lugha za asili za Australia iliyotoweka / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kikalkutung (pia Kigalgadungu) kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wakalkutung katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kikalkutung, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikalkutung kiko katika kundi la Kigalgadungiki.