Kikalarko
lugha ya asili ya Australia iliyotoweka / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kikalarko (au Kigalaagu) kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wakalarko katika jimbo la Australia Magharibi. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kikalarko ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikalarko kiko katika kundi la Kipama-Nyungan cha Kusini-Magharibi.