Kikalaamaya
lugha ya asili ya Australia iliyotoweka / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kikalaamaya kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wakalaamaya katika jimbo la Victoria. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kikalaamaya ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikalaamaya kiko katika kundi la Kipama-Nyungan cha Kusini-Magharibi.