From Wikipedia, the free encyclopedia
Kikaduo ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina na Laos inayozungumzwa na Wakaduo. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kikaduo nchini Uchina imehesabiwa kuwa watu 180,000. Pia kuna wasemaji 5000 nchini Laos (1981). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikaduo iko katika kundi la Kingwi.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikaduo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.