Kijaru
lugha ya asili ya Australia / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kijaru (au Kidjaru) ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wajaru katika jimbo la Northern Territory. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kijaru 360, hata hivyo lugha imo hatarini mwa kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kijaru kiko katika kundi la Kipama-Nyungan cha Kusini-Magharibi.