Kijandai
lugha ya asili ya Australia iliyotoweka / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kijandai kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wajandai katika jimbo la Victoria. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kijandai, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kijandai kiko katika kundi la Kidurubuliki.