Kijaitmatang
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kijaitmatang kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wajaitmatang katika jimbo la Victoria. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kijaitmatang, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kijaitmatang kiko katika kundi la Kiyuin.