Kiikaranggal
lugha ya asili ya Australia iliyotoweka / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kiikaranggal kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Waikaranggal katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kiikaranggal, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiikaranggal kiko katika kundi la Kipaman.