![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/7/78/WIKITONGUES-_Valentine_speaking_Igbo.webm/640px--WIKITONGUES-_Valentine_speaking_Igbo.webm.jpg&w=640&q=50)
Kiigbo
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kiigbo ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waigbo. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kiigbo imehesabiwa kuwa watu milioni 18. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiigbo iko katika kundi la Kiigboidi.