From Wikipedia, the free encyclopedia
Kihausa ni lugha ya Kiafrika-Kiasia inayozungumzwa na Wahausa katika nchi nyingi za Afrika Magharibi, hasa Nigeria (wasemaji zaidi ya milioni 18 mwaka wa 1991), Niger (zaidi ya milioni 5 mwaka wa 2006), Benin (800,000 mwaka wa 2006), Sudan (80,000 mwaka wa 2007) na Kamerun (23,500 mwaka wa 1982). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kihausa iko katika kundi la Kichadiki.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kihausa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.