Kiguyani
lugha ya asili ya Australia iliyotoweka / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kiguyani kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Waguyani katika jimbo la Australia Kusini. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kiguyani ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiguyani kiko katika kundi la Kipama-Nyungan cha Kusini-Magharibi.