Kiguwamu
lugha ya asili ya Australia iliyotoweka / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kiguwamu kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Waguwamu katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kiguwamu ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiguwamu kiko katika kundi la Kimariki.