Kigunya
lugha ya asili ya Australia iliyotoweka / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kigunya kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wagunya katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kigunya ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigunya kiko katika kundi la Kimariki.