Kigumatj
lugha ya asili ya Australia / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kigumatj ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wagumatj katika jimbo la Northern Territory. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kigumatj 240. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigumatj kiko katika kundi la Kiyolngu.