Kiguguyimidjir
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kiguguyimidjir (au Kiguugu-Yimithirr) ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Waguguyimidjir katika jimbo la [[Queensland]. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kiguguyimidjir 780. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiguguyimidjir kiko katika kundi lake lenyewe la Kiguguyimidjir.